#153
Nimepita ulimwengu
Tenzi za Rohoni
Couplet 1
Nimepita ulimwengu, ulimwengu ni mzuri, lakini natamani ulimwengu mwingine.
Couplet 2
Nimeona watu wengi, hutafuta daima Maisha yao yote, ndiyo taabu na shida.
Couplet 3
Imebaki hali njema ya furaha ya roho: Hubirini popote; taabu itatulia.
Couplet 4
Msalabani pa Golgota jerahani mwa Yesu ni mahali penye raha kwao wote kabisa.