Indirimbo Zikundwa Open in the app

#154

Bariki yote yawe mema

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Bariki yote yawe mema, yote yawe mbaraka. Watu wa nchi za duniani, uwajaze utukufu.

Refrain

Kaa kwetu, Bwana, bariki. Uamini wee ee ndugu kweli yake Kristo. Jaa utukufu wa Bwana siku zako zote. Vaa Mwokozi ee na kweli yake, Haleluya.

Couplet 2

Nyumba za wote zibariki kwa Jina lako takata. Ujaze utukufu wako, nchi zote dunia.

Refrain

Kaa kwetu, Bwana, bariki. Uamini wee ee ndugu kweli yake Kristo. Jaa utukufu wa Bwana siku zako zote. Vaa Mwokozi ee na kweli yake, Haleluya.

Couplet 3

Nyosha mkono ubariki, waliojiunga nawe. Wakupokee maishani, watunzwe nawe milele.

Refrain

Kaa kwetu, Bwana, bariki. Uamini wee ee ndugu kweli yake Kristo. Jaa utukufu wa Bwana siku zako zote. Vaa Mwokozi ee na kweli yake, Haleluya.

Couplet 4

Bwana yatunze mambo yote yaliyo mazuri kwako Uwape wote wakuombao, wafanikishe maisha.