#151
Usiku mtakatifu!
Tenzi za Rohoni
Couplet 1
Usiku mtakatifu! Wengine walala Wakeshao ni Yosefu tu na Maria waliomlinda Yesu mwana mzuri Yesu mwana mzuri.
Couplet 2
Usiku mtakatifu! Wachunga wapewa habari nzuri na malaika, zienezwe popote sasa: Yesu Mponya kaja Yesu Mponya kaja.
Couplet 3
Usiku mtakatifu! Siku ya furaha imetuangaza Kimungu tumepewa ukombozi Kristo amefika Kristo amefika.