Indirimbo Zikundwa Open in the app

#143

Nchi nzuri yametameta

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Nchi nzuri yametameta, Huonekana kule mbali, Naye Yesu hutuongoza. Tukafike na sisi huko.

Refrain

Sisi mbali, karibu, Tutaimba na sisi huko!

Couplet 2

Kule tutawaona wengi Wapendwao na Yesu Bwana, Tutashirikiana nao Itakuwa furaha kubwa.

Refrain

Sisi mbali, karibu, Tutaimba na sisi huko!

Couplet 3

Tutamwona na Bwana Wetu, Yesu Kristo Mwokozi Wetu, Tutashangilia daima, Tuna hamu ya kwenda Kwetu.

Refrain

Sisi mbali, karibu, Tutaimba na sisi huko!