Indirimbo Zikundwa Open in the app

#142

Babangu kule Mbinguni

Tenzi za Rohoni

Couplet 1

Babangu kule Mbinguni, aliye juu pa Malaika,

Refrain

Aangalia njia zangu na kunilinda maisha.

Couplet 2

Hata unywele kichwani hauanguki ovyo tu.

Refrain

Na siri zote za moyoni zajulikana kwa Baba.

Couplet 3

Zamani nisipojua, amekwisha kuandika.

Refrain

Mkononi mwake jina langu, ndio upedo wake mkuu.

Couplet 4

Ee Baba yangu u mwema, nami nataka kufanya.

Refrain

Kama Malaika wafanyavyo Mbinguni kwako milele!