#140
Mahali ni pazuri
Tenzi za Rohoni
Couplet 1
Mahali ni pazuri, ndugu wanapokaa,
Refrain
Wakipatana vema, na wakipendana.
Couplet 2
Kama umande mzuri, unyweshavyo shamba,
Refrain
Vivyo na Mungu wetu, hubariki ndugu.
Couplet 3
Upendano hujenga, boma zuri kwao,
Refrain
Wakae na amani, waliookakoka.
Couplet 4
Na ulimwengu wote, watiwa nuruni,
Refrain
Halafu kundi moja, na Mchunga mmoja tu.