#108
Twenenda sayuni
Tenzi za Rohoni
Couplet 1
Mpendao Bwana Ije raha yenu! Imbeni nyimbo za raha Wa ibada yenu.
Refrain
Twenenda Sayuni, Mji mzuri Sayuni; Twenenda juu Sayuni Ni maskani ya Mungu.
Couplet 2
Wasiimbe wao wasioamini, Watoto wa Mungu ndio waimbao chini.
Refrain
Twenenda Sayuni, Mji mzuri Sayuni; Twenenda juu Sayuni Ni maskani ya Mungu.
Couplet 3
Twaona rohoni Baraka za Mungu, Tusijafika Mbinguni Kwenye utukufu.
Refrain
Twenenda Sayuni, Mji mzuri Sayuni; Twenenda juu Sayuni Ni maskani ya Mungu.
Couplet 4
Tutakapo mwona Masumbuko basi, Huwa maji ya uzima, Anasa halisi.
Refrain
Twenenda Sayuni, Mji mzuri Sayuni; Twenenda juu Sayuni Ni maskani ya Mungu.
Couplet 5
Tupaaze sauti, Na fute machozi, Twenenda kwa Imanweli Naye ni Mwokozi.