#131
Ee kuja, mutu wa makosa
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Ee kuja, mutu wa makosa, kuja kwa rehema; Mwokozi atakupokea kama ukikuja.
Refrain
Umwamini, umwamini, umwamini Yesu, Naye atakuokoa, umwamini Yesu.
Couplet 2
Mwokozi alimwanga Damu yake kwa Kalvari, Na damu ile inaweza kusafisha safi.
Refrain
Umwamini, umwamini, umwamini Yesu, Naye atakuokoa, umwamini Yesu.
Couplet 3
Ee Yesu tu ni njia kuingia kule Mbingu; Amini sasa kwa kupata usamehe kwake.
Refrain
Umwamini, umwamini, umwamini Yesu, Naye atakuokoa, umwamini Yesu.
Couplet 4
Ungana nasi watu wake, njia iko wazi; Na tutakuwa kwa milele na furaha nyingi.
Refrain
Umwamini, umwamini, umwamini Yesu, Naye atakuokoa, umwamini Yesu.