#132
Hatua moja inakutenga na Mwokozi
Nyimbo za Mungu
Couplet 1
Hatua moja inakutenga na Mwokozi; Unangojea nini? Ufike kwake leo.
Refrain
Hatua moja, hatua moja; kuja, Anangoja; Kuja kutubu zambi, Atasamehe zote usikatae tena Wokovu wake Mungu.
Couplet 2
Hatua moja mbele, anakungoja sasa; Amini Neno lake, na utasamehewa.
Refrain
Hatua moja, hatua moja; kuja, Anangoja; Kuja kutubu zambi, Atasamehe zote usikatae tena Wokovu wake Mungu.
Couplet 3
Hatua moja mbele, uzima utaona; Siku si nyingi huko, unangojea nini?
Refrain
Hatua moja, hatua moja; kuja, Anangoja; Kuja kutubu zambi, Atasamehe zote usikatae tena Wokovu wake Mungu.
Couplet 4
Hatua moja mbele, kwa nini unakawa? Omba: Ee Bwana Yesu, unipokee sasa.