Indirimbo Zikundwa Open in the app

#130

Usikie Yesu Kristo

Nyimbo za Mungu

Couplet 1

Usikie Yesu Kristo, yeye anakuita, Sikia na kujibu, sasa kuja kwa Bwana.

Couplet 2

Anaweza kuokoa mwenye kumusadiki, Na atakuokoa kama ukimwamini.

Couplet 3

Anapenda kusamehe watu wanaotubu, Na atakusamehe – kuja sasa kwa Yesu.

Couplet 4

Ukimbie sasa kwake, na atakupokea, Kimbia kwa Mwokozi na atakupokea.

Couplet 5

Omba Yesu, omba Yesu, na atakusikia, Uombe Yesu sasa, na atakusikia.

Couplet 6

Anapenda watu wote, Yesu anakupenda, Milele na milele Yesu atakupenda.

Couplet 7

Haleluya, Haleluya, Haleluya, Amina Tuimbe Haleluya, Haleluya, Amina.