Indirimbo Zikundwa Open in the app

#239

Bwana Yesu

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Bwana Yesu Pendo lako ni kubwa Uliye nifiya kwa mu Msalabani shida nyingi zimenisonga Roho yangu Bwana Yesu Uniokowe.x2

Refrain

Sasa(T) na sasa Bwana ninaimba nayo furaha Utukufuni mwako Bwana Yesu Roho mwili navitoa niwe makao yako Bwana.x2

Couplet 2

Bwana Yesu Pendo lako ni kubwa Ulie nifia kwa Msalabani hivi sasa ninapata Wokovu nimepata pia Salama.x2

Refrain

Sasa(T) na sasa Bwana ninaimba nayo furaha Utukufuni mwako Bwana Yesu Roho mwili navitoa niwe makao yako Bwana.x2

Couplet 3

Bwana Yesu Pendo lako ni kubwa Uliye nitoa ndani ya giza sikujua hata niko nashida nitakusifu Mwokozi.

Refrain

Sasa(T) na sasa Bwana ninaimba nayo furaha Utukufuni mwako Bwana Yesu Roho mwili navitoa niwe makao yako Bwana.x2