#238
Kanisa mwili
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Kanisa Mwili wa Kristo, Yesu ni kicwa ca mwili waaminifu ni viungo havitendi kazi moja maco ni kwa kutazama miguu ni kutembeaa mikono ni kwa kugusa havitendi kazi moja.
Refrain
Bwana Unisaidie Uniongoze mwenyewe ni siwe kilema kwako nikutumikie Bwana Yesu, Yesu Bwana, Bwana.
Couplet 2
Neno la Mungu linasema kila mutu atalipwa sawa na matendo yake ginsi alivyo tumika wamoja kama mitume wengine wanabii wengine wainjilisti wacungaji na waalimu.
Refrain
Bwana Unisaidie Uniongoze mwenyewe ni siwe kilema kwako nikutumikie Bwana Yesu, Yesu Bwana, Bwana.
Couplet 3
Kuna viungo vilema haviwezi kutumika, kuomba na kufitawa hawiwezi hata moja atakapo kuja Bwana atavikusanya vyote vitatupwa kwenye moto watutengwa kwamilele.x2
Refrain
Bwana Unisaidie Uniongoze mwenyewe ni siwe kilema kwako nikutumikie Bwana Yesu, Yesu Bwana, Bwana.