#240
Umeona vema
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Umeona vema kuniokowa mimi, Umeona vema kunitakasa mimi, Umeona vema kunipa Neno lako Umeona vemaaa.
Refrain
Umeniokowa Yesu kwabeyi yenye Damani nimeokolewa, Umenipa utajiri utajiri waajabu sasa na simama.x2
Couplet 2
Umeniahidi hutaniyacha mimi, Umeniahidi Ushindi na Baraka, Umeniahidi Uzima wamilele Umeniahidiiii.
Refrain
Wewe ndiye Ngome langu Wewe musahada wangu Unisikilize. Eh Mungu usiwe mbali bila Wewe sitashinda Unisaidiye.x2
Couplet 3
Umeniahidi ni tafufuliwa, Umeniahidi ni tanyakuliwa, Umeniahidi makao mazuri Umeniahidiiiii.
Refrain
Bwana Unisaidiye niseme kama Paulo mwisho wa Safari. Nimepiga vita nzuri Mwendo nimeumaliza Imani nimechunga.x2