#231
Kifo chama ajabu
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Kifo chama Ajabu chake Mwokozi Yesu majabu mengi sana aliyashuhudiya tazama [chunguza] giza lile alipokata roho paziya la Hekalu nalo likapasuka.x2
Refrain
S: Nawaliweka walinzi kaburini nawa kisema ni mujanja huyo ST: Saa ilifika Mwokozi alifufuka Walinzi wao tazama walianguka Tazama Yesu Amebeba Ushindi Ona Bendela ya Bwana Inapepeya.x2
Couplet 2
Mwokozi Alikufa pale Musalabani Yusufu aliomba Mwili wake Mwokozi walimuvika sanda na kumpaka mafuta mwisho wali muweka kwenye kaburi lake.x2
Refrain
S: Nawaliweka walinzi kaburini nawa kisema ni mujanja huyo ST: Saa ilifika Mwokozi alifufuka Walinzi wao tazama walianguka Tazama Yesu Amebeba Ushindi Ona Bendela ya Bwana Inapepeya.x2
Couplet 3
Tazama saa ya Bwana ya Kufufuka kwake Tetemeko la inchi liliwa angusha tazama Malaika aliondowa jiwe Bwana amefufuka Bwana wama Ajabu.x2