#230
Leo kwetu nifuraha
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Leo kwetu nifuraha kwani Mwezi Mungu amewaunganisha Vijana hawa kweli bila shaka wameungana sawa sawa na Neno Lililosema %Mme atamuacha baba na mama ata ambatana na Mke wake%
Refrain
S: Ndowa hii TS: Inazihirisha ile itakayo kuja badaye.x2 S: Siku Yesu TS: Atakuja kuchukuwa Bibi Arusi Wake.x2 :/: Kwakula naye karamu [na Malaika] na Malaika watashangaa :/:
Couplet 2
Ndugu umejibiwa maombi yako umepewa zawadi toka Mungu juu Mbinguni %Nikwako kumpenda Mke wako kumuheshimu hapo utabarikiwa naye Mungu wa Mbinguni%.
Refrain
S: Neno la Mungu TS: Liwe msingi bora Ndugu kwa unyumba wenu x2 :/: Musamaha nayo yajenga Unyumba [yajenga Unyumba], muwe mufano bora kwa jirani :/:
Refrain
AT: Imeyandikwa kwamba utatii Mme wako TS: Nasi twomba Mungu awabariki, Tabia zako Dada ziwe kama zake Sara.