Indirimbo Zikundwa Open in the app

#232

Safari ya wana wa israeli

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Safari ya wana wa Israeli kutoka Misri kwenda Kanana Bwana Akasikiya kilio chao Bwana Akashuka kuwaokowa.x2

Refrain

Bahali yashamu akapasuka: Nao wakavuka kwa ukavu Farao kajaribu naye kuvuka: Yeye na jeshi lake wakaangamiya.x2

Couplet 2

Wakati walipo kua jangwani Uwepo wa Bwana pamoja nao muchana akawa nguzo la wingu Usiku Yeye ni nguzo la Moto.x2

Refrain

Walipo shikwa hata na njaa: Bwana Akawapa chakula Manu walipokuwa hata na kiu: Katika Mwamba katoka Maji.x2

Couplet 3

Hakuna munguu kama wewe Mungu wa Israeli anaya tenda Niwewe waokowa kutoka dhambi Niwewe waponya hata magonjwa.x2

Refrain

Kweli hakuna Mungu kama Wewe: Mponyaji kama Wewe Anaye tulinda ni Wewe Bwana; Niwewe Bwana wa ma Bwana.x2