Indirimbo Zikundwa Open in the app

#199

Acheni watoto

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Acheni watoto wadogoo waje kwa YESU Awakumbatiyee waombewe na kunyoshewa mikonoo ili wapate kulindwa nayule Aduii kwani ajuwa hawana dhambi hawana dhambi kwahiyo tawaleteya magonjwa mengi ili wapate kuangamiya lakini twapashwa kuwa sawa watoto hawa Yesu kasema.

Refrain

ANT: Mw’imbaji unapashwa kuwa: Pasteri unapashwa kuwa: Shemasi unapashwa kuwa Tous: Kuwa sawa mtoto mdogoo ili upate kuingia.