#198
Siku moja bwana
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Siku moja Bwana wakamuleteya watoto ili apakuwagusa na kuabariki wa Nafunzi wakakemeya waliyo waleta Bwana akachukizwa na kitendo hicho naku wa ambia acheni watotoo watoto wadogo waje waje kwangu.
Refrain
Nawambiya kwakweli ule asiye pokea Ufalme wa Mungu kama mtoto mdogo [ivi Bwana asema hawezi ingia.x2]