Indirimbo Zikundwa Open in the app

#200

Nipe kutembeya

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Nipe kutembeya Ulipopita Bwana njia iyendayo Mbinguni nikileta furaha kwa wale walio achwa nijaze Upendo siku zote.

Refrain

Nijaze upendo siku zote nikitembeya na yule Huwa nipe kutembeya nikiimba na kucheka nijaze Upendo siku zote.x2

Couplet 2

Nilinde karibu na Mwokozi wangu Yesu usiniache gizani nilinde na kasirani uniburishe moyo nijaze Upendo siku zote.

Refrain

Nijaze upendo siku zote nikitembeya na yule Huwa nipe kutembeya nikiimba na kucheka nijaze Upendo siku zote.x2

Couplet 3

Bado nitafika mwisho mwisho wasafari yangu Nitakaa mbinguni kwangu na niimbe Mufalme nikienda kwa mutoni nijaze Upendo siku zote.

Refrain

Nijaze upendo siku zote nikitembeya na yule Huwa nipe kutembeya nikiimba na kucheka nijaze Upendo siku zote.x2