#137
Mbingu na inchi
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Mbingu na inchi vinajaa utukufu wako ee Mungu wangu maumbile yote yashuhudia ukuu wako ee Mungu yakusifu na kukushukuru yakwabudu nginsi iwezavyo ee Mungu.
Refrain
T: Jina la Yesu kristo ni likuu lapita majina yote mbingu na duniani. S: Jina hilo litukufu lifaalo kwabudiwa na viumbe vyote vilivyo mbingu na duniani. T: Ee Mungu nifunze kukukwabudu kukusifu S: unifunze kukuabudu kati roho na ukweli nikiwa na roho ya shukrani ni mbele yako.
Couplet 2
Ndege aamukapo asubuhi ashukuru Jina Lako ee Mungu mimeya unapo ibariki yakushukuru ee Mungu wangu bahari tuitazamapo yaonesha hekima ha yako ee Mungu.
Refrain
T: Jina la Yesu kristo ni likuu lapita majina yote mbingu na duniani. S: Jina hilo litukufu lifaalo kwabudiwa na viumbe vyote vilivyo mbingu na duniani. T: Ee Mungu nifunze kukukwabudu kukusifu S: unifunze kukuabudu kati roho na ukweli nikiwa na roho ya shukrani ni mbele yako.
Couplet 3
Huzuni kwangu mimi mwana damu sijui kukuabudu ee Mungu, sijui kukusifu na kukutukuza kama vile maumbile, umenipa hakili kuliko vyote haya kwangu kuona sikwabudu.