#136
Nani atanishitaki
Iz'i Gisenyi
Refrain
Nani atanishitaki nimehesabiwa haki nani atanihukumu Kristo alinifilia na tena Akafufuka Yumbinguni kuniombea.x2
Couplet 1
Ant: Hata Shetani apingenimeza liwa na Baba nimebarikiwa sana kwa baraka ziilizo katika Yesu Kristo Muzaliwa kwanza.
Refrain
Nani atanishitaki nimehesabiwa haki nani atanihukumu Kristo alinifilia na tena Akafufuka Yumbinguni kuniombea.x2
Couplet 2
Ant: Yule anaye nishitaki ajichokesha bure mashitaka yake yote, hayanitengi na Mungu, Upendo wa Baba kwangu hawuna mipaka.