Indirimbo Zikundwa Open in the app

#138

Nyenyekeeni

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

S: Nyenyekeeni,x4 Nyenyekeni chini ya Uo [ngozi wa Bwana.x2] Nyekeeni chini ya nguvu [Nguvu za Bwana.x2] Tawatukuza kwa wakati u [unaofaa.x2]

Refrain

Mutwikeni masumbuko yenu: kwani anawashugurikia. Mutwikeni na shida zenu: kwani anawashugurikia. Muwe na kiasi na kukesha kesheni kwani adui wenu anguruma kama Simba [akitafuta mutu amumeze.x2]

Couplet 2

S: Shindana naye (x4) shinda Shetani kwa Imani na (Neno la Mungu.x2) atakimbia mbali na wewe (mbali kabisa.x2) Na Mungu mwingi wa neema alie waita kati Kristo.

Refrain

Kwa utukufu wake wa milele baada yakuteseka hapa Tawakamilisha tawatiya nguvu atawatengeneza mwenyewe kuwashika mukono (Akiwashimamisha a imara.x2)