Indirimbo Zikundwa Open in the app

#99

Hakuna aliye fika

Iz'i Gisenyi

Refrain

Hakuna aliye fika pale Kaluvari, akarudi tena ginsi alivyo kuwa mbele.

Couplet 1

Paulo alipokutana naye Yesu, alirudi amekwisha badilika, akafikiya kusema si mimi niishiye, kwani Bwana pekee akiishi ndani yangu.

Refrain

Hakuna aliye fika pale Kaluvari, akarudi tena ginsi alivyo kuwa mbele.

Couplet 2

Pale kisimani, mwanamke Msamariya alipokutana na Muumbaji wake, alipewa Maji iletayo Uzima, akarudi amekwisha badilika.

Refrain

Hakuna aliye fika pale Kaluvari, akarudi tena ginsi alivyo kuwa mbele.

Couplet 3

Ukiwa musherati, usikate tama, uje kwake Bwana Atakupokea, maana Alisema njooni kwangu nyinyi wote munaolemewa na mizigo yenu.

Refrain

Hakuna aliye fika pale Kaluvari, akarudi tena ginsi alivyo kuwa mbele.

Refrain

Kwa maana: Yeye Ndiye kimbilio mwamba wetu Wakaribu.

Refrain

Hakika ndugu: Yeye Ndiye Musahada usio kosekana.

Refrain

Kwa magonjwa: katika vidonda Vyake tunapata Uponaji.

Refrain

Ukiwa na kiu: Yeye Ndiye chemuchemu ya Maji ya Uzima.

Refrain

{Leta hitaji} x2 yako ndugu, leta hitaji yako kwa Yesu, naye Atakupa jibu.

Refrain

{Leta mzigo} x2 wako ndugu, leta mzigo wako kwa Yesu, naye Atakupumuzikisha.

Refrain

{Leta shida} x2 yako ndugu, leta shida yako kwa Yesu, naye Atakupa jibu.

Refrain

{Leta magonjwa} x2 yako ndugu, leta magonjwa yako kwa Yesu, utapata Uponyaji.