#100
Kisima kimoja
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Kisima kimoja kitowacho maji yasiyo kauka ni Bwana Yesu maji ya uzima yabubujikayo rohoni mwa wale wamwaminiyo.x2
Refrain
Maji yale: maji yale
Refrain
Ya Uzima; ya Uzima
Refrain
Ndiye Roho: Mtakatifu
Refrain
Aliye: haidiwa
Refrain
Wale wote wamwaminio: wamwaminio.x2
Couplet 2
Eh Bwana kumbuka Ahadi zako Ulizo ahidi Kanisa lako maji yauzima Roho Mtakatifu abubujike myo-myo yoni mwetu.x2
Refrain
Nina kiu: yako Bwana
Refrain
Kama ayala: ana kiu
Refrain
Yaa maji: kuondoa
Refrain
Kiu chake: kiu chake
Refrain
Nasumbuka: duniani
Refrain
Hii ya shida: hii ya shida
Refrain
Na hitaji: mufariji
Refrain
Wa kweli: mwanifu
Couplet 3
Jangwani Israeli alikunywa maji yatokayo mwamba ni Bwana Yesu baadaye akacha kisima kizuri akageukia vilivyo chimbwa x2
Refrain
Wengi leo: kisha kusikia
Refrain
Kia neno: la uzima
Refrain
Wafurahi : na kusema
Refrain
Neno ni kweli: Neno ni kweli
Refrain
Na badaye: wageukiya
Refrain
Mafundisho: mageni
Refrain
Wanakana: Neno lake
Refrain
Bwana Mungu: Bwana Mungu