Indirimbo Zikundwa Open in the app

#57

Bwana Yesu

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Bwana Yesu sema nami mimi ni munyonge sema nami.x2

Refrain

Wengine wanahurumiwa ewe Bwana nami nihurumiwe Bwana wangu.x2 Bwana: nitawale unilinde Bwana: niwe chombo chako ewe Bwana.x2

Couplet 2

Bwana Yesu kweli Unilinde mpaka siku ile Utakaporudi.x2

Refrain

Wengine wanahurumiwa ewe Bwana nami nihurumiwe Bwana wangu.x2 Bwana: nitawale unilinde Bwana: niwe chombo chako ewe Bwana.x2

Couplet 3

Bwana Yesu kweli nakuomba nijaze Roho wako Mutakatifu.x2