Indirimbo Zikundwa Open in the app

#44

Siku za mwisho

Iz'i Gisenyi

Couplet 1

Siku za mwisho zimewajia wana wa Mungu jihazari litangajeni neno la Bwana kwa mataifa waokoke.

Refrain

Aaa Arusi ya Mwana Kondoo.

Refrain

Iii inatungoja huko.x2

Refrain

Tujitayarishe kuingiya Arusini.x2

Couplet 2

Kama ilivyo maandiko dalili za Bwana zatimia dalili zote Zime onekana sasa twangoja kumulaki.x2

Refrain

Aaa Arusi ya Mwana Kondoo.

Refrain

Iii inatungoja huko.x2

Refrain

Tujitayarishe kuingiya Arusini.x2

Couplet 3

Ndipo ishara za Mwana wadamu zitaonekana siku ile mataifa wote wa ulimwengu wataomboleza Siku ile.x2

Refrain

Aaa Arusi ya Mwana Kondoo.

Refrain

Iii inatungoja huko.x2

Refrain

Tujitayarishe kuingiya Arusini.x2