#15
Dunia si kwetu
Iz'i Gisenyi
Couplet 1
Dunia si kwetu mimi nimusafiri ninayo hazina Mbinguni kwa Baba mulango niwazi mbele yawa Malaika nasita kumbuka dunia Milele.x2
Refrain
Mwokozi wajuwa sina Rafiki kama wewe ikiwa Mbinguni siwezi kuingiya Bwana nifanyeje hata nikae nawe na sitakumbuka dunia Milele.x2
Couplet 2
Kuishi Milele pamoja na Baba wimbo wetu wote waimba Ushindi tutaimba sifa sote na utukufu na sitakumbuka dunia Milele.x2
Refrain
Mwokozi wajuwa sina Rafiki kama wewe ikiwa Mbinguni siwezi kuingiya Bwana nifanyeje hata nikae nawe na sitakumbuka dunia Milele.x2
Couplet 3
Najuwa waningojeya ulivyo nijuwa nimeokolewa sasa niko tayari najua nitafika ingawa ni munyonge na sitakumbuka dunia Milele.x2