Indirimbo Zikundwa Open in the app

#557

Shetani adui yetu

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Shetani Adui yetu, vita vyake vikali, atakaye kuishinda haki ya Mungu wetu, Unaitwa na Bwana uingie vitani.

Refrain

Wewe mkristo ingia vitani mwake Yesu, Sikia wito Wake, na uingie leo.

Couplet 2

Maadui wanakuja, nguvu zao Shetani, Juu ya ‘falme na mamulaka tuna vita na zote, Wapi wa kuwashinda? Wapi wewe askari?

Refrain

Wewe mkristo ingia vitani mwake Yesu, Sikia wito Wake, na uingie leo.

Couplet 3

Tunasaidiwa nalo jeshi la Mungu wetu, Kiongozi ndiye Yesu, hatuwezi kushindwa, Washindao wa Bwana watapewa majazi.

Refrain

Wewe mkristo ingia vitani mwake Yesu, Sikia wito Wake, na uingie leo.