#558
Nikupende zaidi
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Ee Bwana u mwema kwangu Nami nitakusifu Roho Yako anifunze Kukupenda zaidi.
Refrain
Zaidi, zaidi nikupende Bwana zaidi Zaidi, zaidi nikupende Bwana zaidi.
Couplet 2
Ee Bwana wanibariki Nami takuabudu Unanitunza kwa pendo Nataka nikupende.
Refrain
Zaidi, zaidi nikupende Bwana zaidi Zaidi, zaidi nikupende Bwana zaidi.
Couplet 3
Hata upepo uvume Unanipa salama Unaniongoza vema, Nataka nikupende.
Refrain
Zaidi, zaidi nikupende Bwana zaidi Zaidi, zaidi nikupende Bwana zaidi.
Couplet 4
Hata nita’ pomaliza Safari yangu huku Hili ndilo ombi langu Nikupende zaidi.