#556
Hatujui saa
Coll. des Cantiques
Couplet 1
Hatujui sa-a ya kuja kwa Bwana, Lakini dalili zasema karibu; Atakaporudi lakini kwa kweli, Hatujui saa.
Refrain
Atakuja, kwa vile tukeshe, Atakuja Mwokozi, Aleluya! Atakuja kwa fahari ya Baba Yake, Hatujui saa.
Couplet 2
Pana nuru kwao wapendao haki, Pana kweli katika chuo cha Mungu; Unabii hufundisha kuja Kwake, Hatujui saa.
Refrain
Atakuja, kwa vile tukeshe, Atakuja Mwokozi, Aleluya! Atakuja kwa fahari ya Baba Yake, Hatujui saa.
Couplet 3
Tutakesha na tutaombo daima, Tutafanya kazi mpaka akija, Tutaimba na tutasoma ishara, Hatujui saa.
Refrain
Atakuja, kwa vile tukeshe, Atakuja Mwokozi, Aleluya! Atakuja kwa fahari ya Baba Yake, Hatujui saa.