Indirimbo Zikundwa Open in the app

#532

Kuna nuru kubwa

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Kuna nuru kubwa ya ajabu, Inangaza ndiye Yesu. Ya kuangazia ulimwengu Tusibakie gizani.

Refrain

{Njoo kwenye nuru ndugu yangu, Ndiko kuliko na raha; Usitangetange kwenye giza, Huko hakuna amani.} x2

Couplet 2

Mungu Baba ni mwenye upendo, Alimtuma Mwana Wake A angaze pote duniani, Hili watu waokoke.

Refrain

{Njoo kwenye nuru ndugu yangu, Ndiko kuliko na raha; Usitangetange kwenye giza, Huko hakuna amani.} x2

Couplet 3

Mimi na wewe sote twaitwa, Tuangaze kwa mataifa, Watu wasipotee zambini, Wakauone uzima.

Refrain

{Njoo kwenye nuru ndugu yangu, Ndiko kuliko na raha; Usitangetange kwenye giza, Huko hakuna amani.} x2