Indirimbo Zikundwa Open in the app

#533

Ndugu tazama Yesu

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Ndugu tazamaYesu ni Mungu wa uwezo, Ni Mukombozi wa dunia, Aliye kufilia, ‘Kabeba zambi zako Hili upate kuokolewa.

Refrain

Ni kweli Yeye ndiye Njia, Uzima wa mileleYeye. Ana Uwezo kukuponya, Vizuri sana yapendeza. - Ukiwa kweli na imani (we ndugu we) - Ukiamini Neno Lake (we dada we) - Utazaliwa upya kweli (rafiki we). (x2)

Couplet 2

Yesu ndiye Uzima, Kwake kuna Salama, Magonjwa hayapatikane; Sikia Neno Lake, uliamini kweli, Litakufikisha Mbinguni.

Refrain

Ni kweli Yeye ndiye Njia, Uzima wa mileleYeye. Ana Uwezo kukuponya, Vizuri sana yapendeza. - Ukiwa kweli na imani (we ndugu we) - Ukiamini Neno Lake (we dada we) - Utazaliwa upya kweli (rafiki we). (x2)

Couplet 3

Ujiandae sasa kwa Karamu ya Bwana, Arusi Yake ni karibu, Uwe tayari sasa kwa Neno la wakati Ili unyakuliwe Naye.