Indirimbo Zikundwa Open in the app

#531

Nini itanitenga na Yesu?

Coll. des Cantiques

Couplet 1

Ni nini itanitenga na Yesu wangu?

Refrain

Hakuna kya kunitenga na Yesu wangu.

Couplet 2

Hata nikose chakula, Yesu ni wangu.

Refrain

Hakuna kya kunitenga na Yesu wangu.

Couplet 3

Hata nikiwa mugonjwa, Yesu ni wangu.

Refrain

Hakuna kya kunitenga na Yesu wangu.

Couplet 4

Hata nikose mavazi, Yesu ni wangu.

Refrain

Hakuna kya kunitenga na Yesu wangu.

Couplet 5

Hata nipate mateso, Yesu ni wangu.

Refrain

Hakuna kya kunitenga na Yesu wangu.