Indirimbo Zikundwa Open in the app

#329

Ewe Mwana wa Mungu niokoe nami

Wokovu

Couplet 1

Ewe Mwana wa Mungu, niokoe nami, nikutumikie na niende Sayuni. (2x)

Refrain

:/: Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Milele na milele.:/:

Couplet 2

Mavuno ni mengi, watenda kazi ’chache. Ita wengi Bwana, waingie kazini. (2x)

Refrain

:/: Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Milele na milele.:/:

Couplet 3

Tuombe kwa bidii Bwana wa mavuno, atume watumishi kati shamba lake. (2x)

Refrain

:/: Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Milele na milele.:/:

Couplet 4

Bwana Yesu yu aja, na ujira wake, kulipa watumishi kama kazi zao. (2x)

Refrain

:/: Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Sifa zina wewe, Milele na milele.:/: