Indirimbo Zikundwa Open in the app

#300

Mungu awabarikie nyote

Wokovu

Couplet 1

Mungu awabarikie nyote na awe pamoja nanyi! Awalinde kwa amani! Mungu n’awe nanyi siku zote!

Refrain

Mungu n’awe nanyi daima hata mwisho wenu wa safari! Mungu n’awe nanyi daima hata tuonane huko juu!

Couplet 2

Mungu wetu awalinde pote na kuwahifadhi vema kwa mikono ya rehema! Mungu n’awe nanyi siku zote!

Refrain

Mungu n’awe nanyi daima hata mwisho wenu wa safari! Mungu n’awe nanyi daima hata tuonane huko juu!

Couplet 3

Mungu awaangazie nuru, na awashibishe sana kwa fadhili zake Bwana! Mungu n’awe nanyi siku zote!

Refrain

Mungu n’awe nanyi daima hata mwisho wenu wa safari! Mungu n’awe nanyi daima hata tuonane huko juu!

Couplet 4

Mungu awainulie uso! Na wakati wa kuhama mpelekwe kwa salama! Mungu n’awe nanyi siku zote!

Refrain

Mungu n’awe nanyi daima hata mwisho wenu wa safari! Mungu n’awe nanyi daima hata tuonane huko juu!

Couplet 5

Mungu awabarikie nyote, awalinde m-we huru, awaangazie nuru! Awainulie uso wake!