Indirimbo Zikundwa Open in the app

#250

Ikawa siku kubwa kwangu

Wokovu

Couplet 1

Ikawa siku kubwa kwangu aliponiokoa Yesu. E’ roho yangu umsifu Mwokozi wako Yesu Kristo!

Refrain

Siku kuu, siku kuu aliponiokoa Yesu! Na kwa Neema na upendo akaondoa dhambi zangu! Siku kuu, siku kuu aliponiokoa Yesu!

Couplet 2

Nimeokoka, nafurahi! Ananitaja mwana wake! Alinivuta kwa upendo, nikafuata mwito wake.

Refrain

Siku kuu, siku kuu aliponiokoa Yesu! Na kwa Neema na upendo akaondoa dhambi zangu! Siku kuu, siku kuu aliponiokoa Yesu!

Couplet 3

Ni shangwe ku’ moyoni mwangu nikifuata Bwana Yesu. Anipimia ne’ma sawa wakati wote ma maisha.

Refrain

Siku kuu, siku kuu aliponiokoa Yesu! Na kwa Neema na upendo akaondoa dhambi zangu! Siku kuu, siku kuu aliponiokoa Yesu!

Couplet 4

Kwa Pendo kubwa na rehema ananitunza siku zote. Sitasaahu siku ile aliyoniokoa Yesu.