#246
Heshima na sifa zina Baba Mbinguni
Wokovu
Couplet 1
Heshima na sifa zina Baba Mbinguni, aliyetupenda zamani na sasa!
Refrain
Haleluya, usifiwe! Haleluya, amina. Haleluya, usifiwa! Haleluya, amina.
Couplet 2
Heshima na sifa zina Yesu Mwokozi, alitufilia kwa’jili ya dhambi!
Refrain
Haleluya, usifiwe! Haleluya, amina. Haleluya, usifiwa! Haleluya, amina.
Couplet 3
Heshima na sifa zina Roho wa kweli, anashuhudia Mwokozi na Damu!
Refrain
Haleluya, usifiwe! Haleluya, amina. Haleluya, usifiwa! Haleluya, amina.