Indirimbo Zikundwa Open in the app

#221

E’ mtoto, yainue macho yako

Wokovu

Couplet 1

E’mtoto, yainue macho yako Mbinguni! Bwana Yesu huko juu, kwa upendo akuone.

Couplet 2

Ukiomba asikia, akulinda mashakani; na anakuandalia kao zuri huko kwake.

Couplet 3

Penda Yesu, mfuate, tii neno lake pia! Tena malaika wake watakuchukua kwake.