#189
Unihubiri habari njema
Wokovu
Couplet 1
Unihubiri habari njema, neno la ukombozi, hata ikiwa siufahamu wingi wa wema! Nilipokuwa katika giza, ndipo Mwokozi alinijia, na akanipa Wokovu, raha na tumaini.
Refrain
Mimi kipofu, naona sasa, anasikia maombi yangu, naye hatanisahau, kwani ananipenda.
Couplet 2
Amefungua mkono wake, kuna Wokovu humo; ukilemewa moyoni mwako, uje kwake Yesu! Uliyechoka kwa dhambi zako, umtazame Mwokozi wako, na utapata Wokovu, njoo, anakupenda.
Refrain
Mimi kipofu, naona sasa, anasikia maombi yangu, naye hatanisahau, kwani ananipenda.