#159
Nasikia Bwana Yesu aniita
Wokovu
Couplet 1
Nasikia Bwana Yesu aniita ku’fuata. Aliponitangulia nifuate yeye njia yote!
Refrain
Nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate yeye njia yote!
Couplet 2
Nifuate njia yote, na kwa maji nibatizwe, na kujazwa Roho wake! Nifuate Yesu njia yote!
Refrain
Nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate yeye njia yote!
Couplet 3
Nifuate, nihubiri nelo lake la uzima kati’watu wa dunia! Nifuate Yesu njia yote!
Refrain
Nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate yeye njia yote!
Couplet 4
Nifuate Bwana Yesu katika mateso, kufa, na nifufuliwe naye! Nifuate Yesu njia yote!
Refrain
Nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate nyayo zake, nifuate yeye njia yote!
Couplet 5
Atanipa ne’ma yake kwa kudumu hata mwisho, hata nitakapomwona Bwana Yesu huko ju’ Mbinguni.