Indirimbo Zikundwa Open in the app

#127

Nimeuona mto safi

Wokovu

Couplet 1

Nimeuona mto safi, kisima cha ajabu, ni Damu yake Yesu Kristo, inayonitakasa.

Refrain

Nimeuona mto safi uniosha moyo wangu. Namshukuru Mungu wangu, aliniweka huru kweli!

Couplet 2

Kwa nia na dhamiri safi naendelea mbele, ninasafiri kwenda Mbingu kuona raha yake.

Refrain

Nimeuona mto safi uniosha moyo wangu. Namshukuru Mungu wangu, aliniweka huru kweli!

Couplet 3

Neema kubwa, nimeonja uheri Mbinguni, maana Damu yake Yesu imeniponya moyo!

Refrain

Nimeuona mto safi uniosha moyo wangu. Namshukuru Mungu wangu, aliniweka huru kweli!