Indirimbo Zikundwa Open in the app

#108

Mwana kondo’ wa Mungu

Wokovu

Couplet 1

Mwana kondo’ wa Mungu, ali’filia sisi juu ya Msalaba kati’ macheko mengi. Umeondoa dhambi na umeshinda kufa. Utupa raha, Yesu!