#38
Nilikwenda mbali sana
Wokovu
Couplet 1
Nilikwenda mbali sana, ’kufuata njia mbaya, nikamsahau Yesu anayenipenda sana.
Refrain
Nina raha na furaha, Yesu alinitafuta, akaniokoa kweli, mimi wake siku zote.
Couplet 2
Na sikufikiri siku nitakapodhihirishwa mbele ya Mwenyezi Mungu, na kuhukumiwa naye.
Refrain
Nina raha na furaha, Yesu alinitafuta, akaniokoa kweli, mimi wake siku zote.
Couplet 3
Dhambi zilinichokesha, nikageukia Mungu, akasema neno nzuri la amani na furaha.
Refrain
Nina raha na furaha, Yesu alinitafuta, akaniokoa kweli, mimi wake siku zote.