Indirimbo Zikundwa Open in the app

#26

Nakuitaji, Yesu, Mwokozi wangu

Wokovu

Couplet 1

Nakuhitaji, Yesu, Mwokozi wangu Mwema, sauti yako nzuri iniletee raha!

Refrain

Nakuhitaji, Yesu, usiku na mchana! Katika sala yangu unibariki sasa!

Couplet 2

Nakuhitaji, Yesu, unionyeshe njia! Na unitimizie ahadi za neema!

Refrain

Nakuhitaji, Yesu, usiku na mchana! Katika sala yangu unibariki sasa!

Couplet 3

Nakuhitaji, Yesu, uwe karibu nami, nipate kulishinda jaribu la shetani!

Refrain

Nakuhitaji, Yesu, usiku na mchana! Katika sala yangu unibariki sasa!

Couplet 4

Nakuhitaji, Yesu, katika mambo yote, kwa kuwa bila wewe maisha hayafai.

Refrain

Nakuhitaji, Yesu, usiku na mchana! Katika sala yangu unibariki sasa!

Couplet 5

Nakuhitaji, Yesu, njiani huku chini, nipate kuwa kwako milele na milele!