Indirimbo Zikundwa Open in the app

#23

Nikitazama kwa imani

Wokovu

Couplet 1

Nikitazama kwa imani Mwokozi wangu, Yesu, nawaka kwa upendo wake, na ninavutwa kwake; naona majeraha yake, Mikono na ubavu wake, na humo najificha sana, moyoni mwa upendo.

Couplet 2

Imanweli upendwaye, nilinde siku zote, mpaka nihamie kwako Mbinguni mwa uheri! Milele na milele huko hakuna la kunizuia Nisimsifu Bwana Yesu kwa Damu na jeraha.