Indirimbo Zikundwa Open in the app

#12

Kwa badala yangu kweli

Wokovu

Couplet 1

Kwa badala yangu kweli Yesu alitoa Damu. Mimi huru na ni heri, Bwana Yesu asifiwe.

Refrain

Yesu alinikomboa, lakini si kwa dhahabu na mali ya dunia; bali Damu ya Mwana ni malipo kwa ajili yangu, haleluya!

Couplet 2

Tu’inue Msalaba, hata wote wataona Mwana wake Mungu, hapo alitoa Damu yake!

Refrain

Yesu alinikomboa, lakini si kwa dhahabu na mali ya dunia; bali Damu ya Mwana ni malipo kwa ajili yangu, haleluya!

Couplet 3

Dia (sic) kubwa, Yesu Kristo! Wingi sana wa upendo: Yesu aliacha Mbingu, alitufilia wote.

Refrain

Yesu alinikomboa, lakini si kwa dhahabu na mali ya dunia; bali Damu ya Mwana ni malipo kwa ajili yangu, haleluya!

Couplet 4

Sitaweza kufahamu bei ya Wokovu wangu, bali ninajua sana: Yesu alinikomboa.