Indirimbo Zikundwa Open in the app

#298

Bwana amesema

Umuco

Couplet 1

Bwana Amesema tumupingeni huyo Shetani na yeye pia atatukimbia ni ahadi tuliopewa na Bwana Yesu.

Refrain

./.Kweli tutashinda tukiamini neno, tutashinda kwa nguvu za Bwana tukafike mbinguni./.

Couplet 2

Pia Bwana Amesema tumukaribie yeye peke na yeye atatukaribia huo ndiwo ushindi wetu.

Refrain

./.Kweli ni ushindi, ni ushindi kweli ushindi ni wetu tukidumu katika imani tutashinda kwa nguvu za Bwana./.

Couplet 3

Kumbukeni Abrahamu pale milimani Moriya amejaribiwa sana na kwa imani ameshinda majaribu yote.

Refrain

./.Nasi tutashinda, tutashinda tukishikama na Neno na kubaki kati ka Imanai tutamuona Bwana Yesu./.