#246
Tu’jeshi lake bwana
Umuco
Couplet 1
Tu’ jeshi lake Bwana, tuwe imara kweli, kama askari vitani na tukeshe kwakweli.
Refrain
Neno la Mungu : Chakula chetu, Chakula chetu Vitani. Maombi pia : Silaha zetu, Silaha zetu Vitani.
Couplet 2
Shika Silaha zako, usiku na mchana, Omba Mwokozi wako, na ukeshe kwa Kweli.
Refrain
Neno la Mungu : Chakula chetu, Chakula chetu Vitani. Maombi pia : Silaha zetu, Silaha zetu Vitani.
Couplet 3
Tuna Mfalme wetu, Aliyeshinda yote, na sisi tutashinda, kwa kuwa Ameshida.
Refrain
Neno la Mungu : Chakula chetu, Chakula chetu Vitani. Maombi pia : Silaha zetu, Silaha zetu Vitani.
Couplet 4
Na wewe ndugu yangu, uwe muvumilivu, katika shida zote, shika Neno la Mungu.
Refrain
Neno la Mungu : Chakula chetu, Chakula chetu Vitani. Maombi pia : Silaha zetu, Silaha zetu Vitani.
Couplet 5
Utii Mungu wako, uvae Neno lake, shindana na Shetani, naye atakukimbia.