Indirimbo Zikundwa Open in the app

#723

Bwana uliye waita

Umuco 2

Couplet 1

Bwana uliye waita watakatifu wako,wale Mitume, wachungaji na lile kundi lako.

Refrain

{Wanyonge na wenye hofu wakawa Mashujaa (kwa uwezo), na wapole wa kanena tena hawakunyamanza.} x2

Couplet 2

Hata leo wawataka watakatifu wako, wewe wa uliza tena ninani aliyeko.

Refrain

{Atakaye ni Mtume ashuhudiye Kristo (ni tayari), nitayari Bwana wangu nitume mimi hapa.} x2

Couplet 3

Nitume na mimi Bwana kwa waliyo poteya, habari za msamaha kwa zambi walifanya.

Refrain

{Niwashuhudiye wakosaji nawengine wote (kwa sababu),wokovu niwawo Bwana uliye wafiliya.} x2

Couplet 4

Sisi Bwana hatuwezi kutambuwa yaliyo yako,lakini ni wewe waweza kutufanya wa kristo.

Refrain

{Neno lako tulijuwe tufanane na wewe kristo (kwa sababo), neno lako ni la uzima wa milele.} x2

Couplet 5

Ndugu yangu, Dada yangu tuwe macho tujiandae, sababu wokovu wetu una karibiya kuja

Refrain

{Ujumbe tuliyopata tutembeyane nao(kwa uwezo), ndipo tutanyakuliwa sisi sote na Kristo.} x2