#567
Tangazeni habari
Umuco 2
Couplet 1
Tangazeni habari, Kwamba Yesu ni Mfalme, Ameketi Mbinguni, Mkono wa Kuume wa Mungu.
Refrain
Wote wafahamu kwamba, Yesu ndiye Mwokozi wao, Tena wamufuate Yeye, Kwani ndiye Njia ya kweli.
Couplet 2
Tangazeni Mkombozi, Ameshinda sasa yu’ hai, Mataifa yafahamu, kwamba Yesu ni Mshindaji.
Refrain
Wote wafahamu kwamba, Yesu ndiye Mwokozi wao, Tena wamufuate Yeye, Kwani ndiye Njia ya kweli.
Couplet 3
Tangazeni Ushindi, Wa Mwokozi kwa mataifa, wafahamu Mwokozi kwamba Yeye ni Mshindaji.
Refrain
Wote wafahamu kwamba, Yesu ndiye Mwokozi wao, Tena wamufuate Yeye, Kwani ndiye Njia ya kweli.
Couplet 4
Tangazeni Wokovu na Neema za Bwana Mungu, Ameshinda Mauti, Nasi tumepata Wokovu.
Refrain
Wote wafahamu kwamba, Yesu ndiye Mwokozi wao, Tena wamufuate Yeye, Kwani ndiye Njia ya kweli.
Couplet 5
Tangazeni habari, Kwamba Yesu aja upesi, Waamke upesi, Wamshangilie Mwokozi.
Refrain
Wote wafahamu kwamba, Yesu ndiye Mwokozi wao, Tena wamufuate Yeye, Kwani ndiye Njia ya kweli.
Couplet 6
Enyi ndugu tangaza, Kwa sauti na kwa vinanda, Kwa ujumbe tangaza, Pia na kwa Nyimbo tangaza.